Nkupamah media:
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akizungumza wakati wa kikao cha bodi ya barabara kilichoketi katika ukumbi wa ofisi ya RC .
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho ambacho hutangulia kabla ya kikao cha Ushauri cha Mkoa (RCC).
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Pro Jumanne Mghembe ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mwanga akichangia hoja katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Mwanga ,Shaibu Ndemanga akifuatilia michango iliyokuwa ikitolewa katika kikao hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Rombo ,Lembris Kipuyo akifutilia michango ya hho .oja mbalimbali katika kikao hic
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Novatus Makunga akifuatilia michango katika kikao hicho.
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro,Mwita Rubirya akizungumza wakati wa kikao cha Bodi ya barabara .
Mkuu wa Wilaya ya Same,Herman Kapufi akifuatilia michango katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akifuatilia michango katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akifuatilia michango katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same ,Christopher Ilila akichangia katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Same ,Herman Kapufi akichangia katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akichangia katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akichangia katika kikao hicho.
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi, Exaud Mamuya akichangia katika kikao hicho.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF,JUMANNE MAGHEMBE AKUTANA NA WADAU WA UTALII MKOA WA KILIMANJARO.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza na Wadau wa Utalii mkoa wa Kilimanjaro alipokutana nao katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.
![]() |
Baadhi ya Wadau wa Utalii wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii (hayupo pichani) alipokutana nao. |
Mhifadhi Mkuu mpya wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibooki akiwa katika kikao hicho ambapo alitamburishwa rasmi akichukua nafasi ya Erastus Lufunguro aliyehamishiwa Makao Makuu, Mhifadhi Loibooki alikuwa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Arusha (ANAPA).
Baadhi ya wamiliki wa kampuni za Utalii wakiwa katika mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Amosi Makala akizungumza wakati wa kikao hicho.
Aliyekuwa Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro, (KINAPA) Eva Mallya ambaye kwa sasa amehamishiwa Hifadhi ya Taifa ya Manyara akiteta jambo na Mhifadhi mkuu mpya wa KINAPA,Betrita Loibooki.
Katibu wa Chama cha Waongoza Watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) James Mong’ateko akiwasilisha malalamiko ya wapagazi mbele ya Waziri wa Maliasili na Utalii .(hayupo pichani)
Waziri Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Allan Kijazi wakimsikiliza kwa makini katibu wa Chama cha Waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) James Mong’ateko (hayupo pichani ) alipokuwa akieleza changamoto.
Mkurugenzi Mkuu Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa kikao cha Waziri wa Utalii na Wadauu wa Utalii kilichofanyika mkoani Kilimanjaro.
Katibu wa KGA,James Mong’ateko akikabidhi kwa Waziri Maghembe taarifa iliyohusu Changamoto mbalimbali wanazopata katika shughuli za kupanda Mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya Wadau wa Utalii katika kikao hicho.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments :
Post a Comment