Mkurugenzi
Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin na Maofisa waandamizi wa kampuni hiyo
waliposhiriki mbio za kilomita 5 za mashindano ya riadha ya
Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mwishoni mwa wiki. Bia
ya Kilimanjaro inayotengenezwa na kampuni hiyo ndio ilikuwa mdhamini
mkuu wa mashindano hayo.
Mkurugenzi
Mkuu wa TBL Group Roberto Jarrin ( kulia) akijadiliana jambo na Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Nape Nnauye muda mfupi kabla ya kuanza mashindano hayo.
Wazari wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mh. Nape Nnauye (mwenye kofia) akishiriki mbio za Kilimanjaro Marathon.
Wafanyakazi wa TBL Group wakiwa kwenye mbio.
Waziri Nape Nnauye akisikiliza risala muda mfupi kabla ya kutangazwa washindi wa mashindano hayo.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye (kushoto)
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin
baada ya kumalizika mashindano ya Kilimanjaro Marathon mwishoni mwa
wiki.
0 comments :
Post a Comment