NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DK. JULIANA PALANGYO AKUTANA NA KAMPUNI YA ORYX ENERGIES

Nkupamah media: 

pal1
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo akiendesha kikao kati ya kampuni ya nishati ya Oryx Energies yenye makazi  yake jijini Geneva, Switzerland  pamoja na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili utendaji kazi wa kampuni hiyo nchini.
pal2
Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes (kushoto) akifafanua shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo nchini Tanzania kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo (kulia) katika kikao hicho.
pal3
Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes akifafanua jambo katika kikao hicho.
pal4
Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes (kushoto) akimwelekeza jambo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo (kulia) katika kikao hicho.
Share on Google Plus

About Mng'atuzi blog

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment