Nyota ya Mbwana Samatta Yaanza Kung'aaa Ubelgiji Aipatia Timu yake Goli la Ushindi Jana Jioni

Nkupamah media:




Nyota ya Samatta imeanza kuonekana Baada ya jana jioni kuipatia timu yake ya Genk bao lililowapa ushindi dhidi ya timu ya Brugge, Akiingia kutoka Benchi Dakika ya 77 wakati matokeo yakiwa mbili kwa mbili dakika ya 81 Mbwana Sammatta alipachika bao la Tatu kwa Genk ambapo matokeo yalibaki hivyo mpaka mpira unaisha dakika ya Tisini Genk 3 Brugger 2, Brugge ndio timu inayoongoza ligi hiyo kwa sasa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment