Nkupamah media
Msimamizi
mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja akitoa
maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya wakati wa uzinduzi wa Duka la
Vodashop jijini Mbeya.
Mkuu
wa wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akikata utepe wakati wa uzinduzi wa
duka jipya la Vodashop lilipo uhindini jijini Mbeya, kulia Msimamizi
mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja .
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akikata keki wakati wa uzinduzi wa Voda shop Mbeya.
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akimlisha keki Mmoja wa wateja wa
Vodacom Lilin Potas wakati wa uzinduzi wa Voda shop jijini Mbeya .
Upande
wa kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Musana akilishwa keki na
Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja
wakati wa uzinduzi wa Vodashop Mbeya.
Wafanyakazi
wa Vodacom katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya
Mbeya Nyilembe Munasa mwenye suti ya kaki wakati wa uzinduzi wa
Vodashop Mbeya.
Msimamizi mkuu wa kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania Macfadyne Minja akiongea wakati wakati wa uzinduzi wa Vodashop Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akizungumza mara baada ya kuzindua rasmi Duka la Vodacom jijini Mbeya.
Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya Nyilembe Munasa akimkabidhi simu Mmoja wa washndi wa
promosheni inayoendeshwa na Vodacom ,Lilin Potas wakati wa uzinduzi wa
Voda shop jijini Mbeya .
0 comments :
Post a Comment