WATU ZAIDI YA 56 WAFARIKI NIGERIA

Nkupamah media:Thursday, 11 February 2016

Maafisa wa magharibi mwa Nigeria wanasema watu zaidi ya hamsini wameuwawa katika shambulio lililotokea katika kambi ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la Borno.Wanawake wawili walirusha bomu ,na watatu alikamatwa na polisi,hukuakikana
kuhusika katika shambulio hilo kwa kudai kuwa wazazi wake wako kwenye kambi hiyo hivyo haiwezekani kwa yeye kufanya kitendo hicho.
Zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kuyakimbia makaazi yao kutokana na mashambulio ya kushtukiza katika kipindi cha miaka sita iliyopita kulikosababisha na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.CHANZO:BBC .(V.S)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment