: Mwenyekiti
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na maendeleo ya Jamii Bw.Peter
Serukamba akieleza jambo wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya
kuangalia mradi wa upanuzi wa masafa ya usikivu ya shirika la utangazaji
Tanzania iliyopo kisarawe Pwani.
4037:
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye (wa pili
kulia) akiwasilisha jambo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya
huduma na Maendeleo ya jamii walipotembelea mradi wa upanuzi wa masafa
ya usikivu ya shirika la utangazaji Tanzania iliyopo kisarawe Pwani.
Mwenyekiti
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na maendeleo ya Jamii Bw.Peter
Serukamba akieleza jambo wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya
kuangalia mradi wa upanuzi wa masafa ya usikivu ya shirika la utangazaji
Tanzania iliyopo kisarawe Pwani.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisalimiana na
mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii
Bw.Peter Serukamba katika viwanja vya urushaji wa matangazo ya shirika
la utangazaji Tanzania (TBC) Kisarawe
Wajumbe
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya jamii wakipitia
taarifa ya shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kuhusiana na upanuzi wa
masafa ya usikivu kisarawe pwani na maendeleo yake
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye (wa pili kulia)
akiwasilisha jambo kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na
Maendeleo ya jamii walipotembelea mradi wa upanuzi wa masafa ya usikivu
ya shirika la utangazaji Tanzania iliyopo kisarawe Pwani.
Mkurugenzi
wa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.Ayoub Ryoba akiwasilisha
taarifa ya shirika hilo kwa wajumbe wa wa kamati ya kudumu ya Bunge ya
huduma na Maendeleo ya jamii kuhusiana na upanuzi wa masafa ya usikivu
kisarawe Pwani.Wengine pichani ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Mhe.Nape Nnauye,Naibu Waziri wa wizara hiyo Bi.Anastazia Wambura
na mwenyekiti wa kamati hiyo Bw.Peter Serukamba
Picha na Daudi Manongi-Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment