Mara Baada Ya Zito Kujivua Ujumbe wa Kamati Ya Bunge Leo ............Mbunge Na Mjumbe Mwingine Wa Ccm Naye Ajiondoa Kweny Kamati Hiyo


Mbunge wa Nzega Mjini na Kiongozi wa chama cha CCM Hussein Bashe ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.

Kutokana na shtuma hizo ameamua kuungana  na  Zitto Kabwe  kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.

Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment