Nkupamah media:
![]() |
| Wananchi wa Kijiji cha Mpunda Kata ya Usambara wakimuonesha Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba eneo ambalo Wakazi hao wamepewa na Kiwanda cha Katani ili wajenge Zahanati ya Kijiji. |
![]() |
| Katibu wa Wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyo akizungumza katika Mkutano huo. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mpunda baada ya kumalizika kwa Mkutano huo. |









0 comments :
Post a Comment