Mtanzania
anayekipigia klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji ameendelea kuwika baada
ya usiku wa leo kuweza kuifungia moja ya mabao klabu yake hiyo ambayo
iliibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya wapinzani wao Oostende.
Ushindi
huo wa leo Machi 13.2016, Kwa Mtanzania Mbwana Samatta anakuwa
anafikisha magoli mawili (2) tokea alipojiunga na timu hiyo. Ushindi huo
unakuwa wa pili dhidi ya Mbwana Samatta tokea kujiunga na klabu hiyo.
0 comments :
Post a Comment