Meli
kubwa ya kitalii MS Hamburg imetia nanga bandari ya Zanzibar jana
asubuhi ikiwa na watalii zaidi ya 400. Ilitarajiwa kuondoka jioni jana
na kuendelea na safari yake.
Watalii
hawa walishuka melini na kufanya safari za matembezi katika sehemu
tofauti za kihistoria za mji wa Zanzibar na vitongoji vyake.
MS Hamburg ni meli ya kisasa ya kitalii inayomilikiwa na Conti Group na husimamiwa safari zake na Plantours Kreuzfahrten pamoja na na Ocean Tours ikiwa ni sehemu kampuni ya Akorn group (a division of Abercrombie & Kent)
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment