Mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi
CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa ADA TADEA Juma Ali
Khatib,wakaki alipowasili katika Ukumbi wa Salama Bwawani
yalipotangazwa matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Dk
Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais kupitia Chama cha ADC
Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika Afizi za Tume ya Uchaguzu
Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kupokea matokeo ya Kura za Urais wa
Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed akisalimiana na Mama Mwanamwema Shein.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha
Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha
Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha
pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakishangilia kwa
makofi wakati alipotangazwa kuwa mshindi na Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha jana
katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi
kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji
wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad
Rashid baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi
na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa
utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akionesha Cheti maalum cha Ushindi baada ya kukabidhiwa Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa
matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha
pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa na Watoto wake baada ya
kutangazwa mshindi wakati wa matokeo ya uchaguzi huo jana katika ukumbi
wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha
pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa na Mgombea wa Urais kupitia
Chama cha AFP Said Soud Said baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa
Cheti rasmi cha ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha
Salim Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana
katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad
Rashid Mohammed akitoa shukurani kwa niaba ya Vyama mbali mbali vilivyoshiriki
uchaguzi wa marudio baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti
rasmi cha ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim
Jecha jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja

0 comments :
Post a Comment