Mwamvita Makamba Ajibu Tuhuma za Mange Kimambi Adai January Makamba Hahusiki na Kashfa Zinazosambazwa Mitandaoni

Nkupamah media:

January hausiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni.

Hao ni matapeli na wameamua kumtumia tapeli mwenzao huyo anayejiita wa kitaliano.

Mahusiano yangu, masuala yangu binafsi hayapaswi kuhusianishwa na kaka yangu January. Mimi nina maisha yangu na yeye ana maisha yake binafsi, mimi nina kazi zangu na yeye ana kazi zake.

Puuzeni upuuzi huo unaosambazwa kwa sababu ni wa kupika.

Kuniuliza Leading Questions halafu kunirekodi ili unilishe maneno ni upuuzi wa kupuuzwa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment