Nkupamah media:
Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza LEO katika mkutano kabla ya uzinduzi wa chumba maalumu cha uangalizi wa wagonjwa wanaolazwa katika chumba hicho (ICU) katika Jengo la Mwaisela. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangallah.
Rais wa Shirika lisilo la Kiserikali la Gastrenterology Foundation kutoka nchini Ujerumani, Profesa Meinhard Classen akizungumza LEO katika mkutano wa uzinduzi wa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Naibu Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangallah akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa ICU katika hospitali hiyo Leo. Dk Kigwangallah amemuagiza Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo kuongeza vitanda kwa ajili ya wagonjwa wanaolazwa ICU na kufikia 100.
Naibu Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangallah akikata utepe LEO kwenye Jengo la Mwaisela-Muhimbili ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ICU hiyo.
Baadhi ya wauguzi na madaktari wakifuatilia mkutano huo leo


0 comments :
Post a Comment