Nkupamah media:
- Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Ujumbe kutoka Korea Kusini akiwemo Kiongozi wa Msafara huo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa cha Chuo Kikuu cha Yeugnam cha Korea Kusini Prof. Choioe Choo mwenye tai nyekundu. Ujumbe wa wageni hao ambao waliambatana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Angelina Mabula.
- Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson wakimskiliza Katibu wa Jukwaa la Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Prosper Higiro aliyemtembelea Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.


0 comments :
Post a Comment