Jumamosi ya Machi, 5 Mtanzania Thomas Machali alicheza pambano lake la ubingwa wa kati na Mrusi, Apti Ustarkhanov pamabano lililochezwa nchini Urusi.
Pambano hilo lilishuhudiwa Mtanzania huyo akipoteza kwa kupigwa KO na mrusi huyo na hivyo kushindwa kupata ubingwa huo.
Unaweza kutazama video ya pambano hilo hapa chini;



0 comments :
Post a Comment