Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam umefanyika leo katika Ukumbi wa Karimjee ambapo kunapigwa kura ili kuchaguliwa kwa meya wa jiji.
Nkupamah media  ilifanikiwa kufika katika Ukumbi wa Karimjee na imekuandalia picha 15 jinsi hali ilivyo nje ya ukumbi huo huku kukisubiriwa kufanyika kwa uchaguzi.
Hata hivyo katika hali isiyotegemewa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wame
 katazwa kuingia katika ukumbi kwa madai kuwa tayari wameshaingia waandishi wengi na hivyo hawawezi kuruhusu waandishi wengine kuingia jambo ambalo limeonekana ni kuvunja haki ya waandishi wa habari kutimiza majukumu yao ya kikazi.
DSC_1444
DSC_1450
DSC_1453
DSC_1458
DSC_1460
DSC_1466
DSC_1470
DSC_1471
DSC_1473
DSC_1479
DSC_1490
DSC_1491
DSC_1501
DSC_1518
DSC_1521