Kampuni
ya Apple inayoaminika kuwa moja ya makampuni ambayo hutoa bidhaa zilizo
na ubora imejikuta katika wakati mgumu baada ya mmoja wa watumiaji wa
simu za kampuni hiyo kutaka kujua ni jinsi gani simu hizo zina uwezo wa
kutunza chaji iwapo ‘app’ za simu zikiwa wazi lakini zikiwa hazitumiki.
Mteja
huyo aliyejulikana kwa jina la Caleb kutoka Ohia, USA aliwatumia email
akitaka kujua kufungua ‘apps’ nyingi lakini bila kuzitumia kunaweza
kuiwezesha betri ya simu hiyo kutunza chaji kwa muda mrefu zaidi au
lah!.
Jibu la mteja huyo lilijibiwa na Makamu wa Rais wa mifumo wa kampuni hiyo, Craig Federighi ambaye alijibu hapana.
“no and no,” alijibu Federighi
0 comments :
Post a Comment