Zaidi ya silaha 96 zimesalimishwa na wananchi wa tarafa ya Loliondo mkoani Arusha ili kudhibiti kumiliki silaha kiholela zoezi ambalo linaendelea kwa nchi nzima kwa sasa. (Tazama hapa chini kuona tukio hilo).