WATANZANIA WATAKIWA KUTHAMINI MIUNDOMBINU YA MICHEZO

Nkupamah media: 

miz1
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma alipowasili katika kambi ya Timu ya Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi TFF Salum Madadi.
miz2
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi alipotembelea kambi ya Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma.
miz3
Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Salum Madadi akielezea jambo wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura ( wapili kushoto) na wachezaji wa Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo wachezaji walihakikishiwa kupokea ahadi yao kama walivyo ahaidi kwa kuwa wamefanikiwa kuifunga timu ya Taifa wanawake Zimbabwe licha ya kutoibuka na ushindi.Kutoka kulia ni Meneja Masoko wa TFF Peter Simon na ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma.
miz4
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James akikagua Koki ya bomba la  sink la kunawia katika moja ya choo cha Uwanja wa Taifa alipofanya ziara ya kushitukiza Uwanjani hapo leo jijini Dar es Salaam.
miz5
: Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akielekeza jambo mara bada ya kukagua mbaadhi ya vyoo vya Uwanja wa Taifa alipofanya ziara ya kushtukiza leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Maafisa wa Maendeleo ya Michezo  Nsajigwa Gordon na Daniel Madenyeka(katikati).
miz6
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James akielezea jambo kuhusu uharibifu wa Koki za momba ya  sink za kunawia katika moja ya choo cha Uwanja wa Taifa alipofanya ziara ya kushitukiza Uwanjani hapo leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Maendeleo ya Michezo aliyepo katika Uwanja wa Taifa, Nsajigwa Gordon.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment