Nkupamah media:

Waziri wa Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akitoa taarifa kuhusiana na dhima ya ziara ya Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania
na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi
wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
Waziri wa Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akitoa taarifa kuhusiana na dhima ya ziara ya Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania
na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi
wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari na Mawasiliano
wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son akieleza
makubaliano waliyofikia ya ushirikiano baina ya Tanzania na Vietnam
ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam,
Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania na manufaa yake kwa pande zote
mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es
Salaam.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa
Wizara toka pande mbili za Tanzania na Vietnam pamoja na Waandishi wa
Habari waliohudhuria mkutano huo wakifuatilia mazungumzo kati ya Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Habari na Mawasiliano wa
Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son leo 11 Machi,
2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

0 comments :
Post a Comment