Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa
Iran Nchini Tanzania Mhe. Mehd Aghajafari wakati Balozi huyo alipofika
Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 11,2016, kwenye
mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia suala la kukuza Ushirikiano
kati ya Nchi mbili hizi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Cheti maalum
kutoka kwa Muwakilishi wa Jumuiya ya Watu wenye ulemavu Nchini Bibi
Stela Jailos kwa ajili ya kutambua mchango mkubwa wa Serikali ya awamu
ya 5 kwa Watu wenye Ulemavu.(Picha na OMR)
0 comments :
Post a Comment