Katibu
Mkuu wa klabu ya Dar Swim Club (DSC), Inviolata Itatiro (kushoto)
akikabidhi shada la maua kwa muogeleaji aliyeshinda medali tatu mjini
Dubai, Tumiotto (kulia) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa JK Nyerere jana. Kati kati ni katibu mkuu wa chama cha
kuogelea (TSA), Ramadhan Namkoveka.
Kocha wa Sonia, Michael Livingstone akizungumza mara baada ya Sonia kuwasili huku Sonia akifuatilia.
Katibu Mkuu wa chama cha kuogea Tanzania (TSA) Ramadhan Namkoveka akizunguza huku Sonia akisikiliza.
Meneja
wa timu ya Taifa ya Kuogelea, Leena Kapadia akizungumza mara baada ya
kuwasili huku sokia (kulia) na kocha wake, Michae Livingstone
akifuatilia.
Picha ya pamoja baada ya Sonia kuwasili.
Picha na mpiga picha wetu.


0 comments :
Post a Comment