Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizindua Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village unaodhaminiwa na
kujengwa na Kampuni ya Uwekezaji ya Group 6 ya China. Mradi huo
unaojengwa katika eneo la Msasani Beach Waterfront unategemewa kutoa
ajira jumla ya watu 2000 utakapokamilika. Leo Aapril 09,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village unaodhaminiwa na
kujengwa na Kampuni ya Uwekezaji ya Group 6 ya China. Mradi huo
unaojengwa katika eneo la Msasani Beach Waterfront unategemewa kutoa
ajira jumla ya watu 2000 utakapokamilika. Kuli Mwenyekiti wa Kampuni
hiyo Jonson Huang, Leo Aapril 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa
niaba ya Kampuni ya Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village Msasani
Beach Waterfront akikabidhi Mfano wa hundi yenye jumla ya Tshs.
10,000,000. Kwa Uongozi wa Shule Msingi Mbuyuni kwa ajili ya kuendeleza
Shule hiyo. Leo April 09,2016. Kulia Afisa Muandamizi Ubalozi wa China
Hapa Nchini Guo Haodong, wapili kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tamisemi Mhe. Geoge Simbachawene, na Waziri Biasha na Uwekezaji Mhe.
Chales Mwinjage.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akikata utepe kuzindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village
Msasani Beach Waterfront Leo April 09,2016. Kulia Afisa Muandamizi
Ubalozi wa China Hapa Nchini Guo Haodong, wa tatu kushoto Mwenyekiti wa
Kampuni Uwekezaji ya Group 6 Jonson Huang wa pili kushoto Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Geoge Simbachawene, na Waziri Biasha na
Uwekezaji Mhe. Chales Mwinjage.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiondoa Pazia kuzindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Palm Village
Msasani Beach Waterfront Leo April 09,2016. Kulia Afisa Muandamizi
Ubalozi wa China Hapa Nchini Guo Haodong, wa tatu kushoto Mwenyekiti wa
Kampuni Uwekezaji ya Group 6 Jonson Huang.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na Uongozi wa Kampuni ya Mradi wa
Ujenzi wa Nyumba za Palm Village unaodhaminiwa na kujengwa na Kampuni ya
Uwekezaji ya Group 6 ya China unaojengwa katika eneo la Msasani Beach
Waterfront, Leo Aapril 09,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Afisa Muandamizi wa Ubalozi wa China Hapa Nchini
Guo Haodong, wakati wa ghafla ya uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba
za Palm Villege unaodhaminiwa na kujengwa na Kampuni ya Uwekezaji ya
Gropu 6 ya China zinazojengwa Msasani Beach Waterfront.
(Picha na OMR).

0 comments :
Post a Comment