Mwanamuziki MR BLUE Auaga Ukapera ,,,,..Aamua Kumuoa Kabisa Mama wa Mtoto Wake...Picha

Hatimaye Mr blue kaachana na ukapera kaamua kumuoa mama watoto wake Wyder!!! Hongera sana Mr Blue kwa hatua uliyofikia!!!

Mr blue simbaaa akiwa na mke wake halali kabisaaa Wyder !!! Hakika Blue nayeye ameingia katika list ya wasanii mifano ya kuigwa katika maswala ya ndoa.. tupia neno la kumtakia kheri katika maisha ya ndoa...!!!bado baba Tiffah 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment