Zitto yupo New York City kwa kivuli cha World Bank na pia alipata nafasi ya kutembelea Columbia University New York na kuongea na wasomi wa huko na pia atapata nafasi ya kutembelea Harvard University huko Boston. MA. Picha zote kwa hisani ya Vijimambo Blog New York.
Zitto Kabwe akifafanua maswali aliyoulizwa na Watanzania waishio Marekani wakati wa mkutano huo
Mtanzania Shaban Mseba akiuliza swali kwa Zitto Kabwe (hayupo pichani)..juu ya mipango ya kimaendeleo jimboni kwake.
Zitto Kabwe akifafanua jambo kufuatia maswali aliyoulizwa na watanzania hao aliokutana nao katika mkutano huo
Mkutano huo ukiendelea..
Picha ya pamoja..
0 comments :
Post a Comment