Naibu
Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura
amekutana na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino
Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake
kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika
kutekeleza majukumu yao ya kisanaa hapa nchini.
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa
kwanza kulia akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha
Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini
kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika
kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi
wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa
kwanza kulia akipokea moja ya kazi ya Kikundi cha Albino Revolution
Culture Troup kutoka kwa Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga
wakati walipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto
mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya
kisanaa.
(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).
0 comments :
Post a Comment