Timu ya Yanga ikiendelea na mazoezi ya
mwisho Ijumaa kabla ya kukabiliana na Al Alhly Jumamosi katika Uwanja wa
Taifa Dar es Salaam
Timu ya Yanga wakiwa katika mazoezi ya
mwisho kabla ya kukutana na timu nguma ya Al Ahly Jumamosi wakisikiliza
kwa makini maelekezo ya Kocha Plum ndfani ya Uwanja wa Gombani kisiwani
Pemba walipopiga kambi kwa ajili kukabiliana na waarabu.
Picha na Abdi Suleiman, Pemba




0 comments :
Post a Comment