Taswira Sehemu ya kufanyia Tawaaf ya muda Msikiti wa Makkah yaanza kubomolewa




Hatua ya kwanza ya kubomoa eneo la kufanya Tawaaf lililojengwa kwa muda imeanza ndani ya Masjid Al Haraam, Makkah, Saudi Arabia. 

Kazi hii inatarajiwa kumalizika Mei 25 kabla ya kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhaan.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment