Mbunge wa jimbo la Mafinga kupitia chama cha mapinduzi ( CCM) Cosato Chumi ameshinda kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chadema Bw Willy Mungai. maamuzi hayo yametolewa leo katika Mahakama Kuu kanda ya Iringa.
Taarifa zaidi za habari hii zitaendelea kuwajia hivi punde, endelea kufuatilia Modewjiblog mtandao wako bora..
0 comments :
Post a Comment