Kocha
wa Manchester United ambaye anahusishwa kutimuliwa kazi na nafasi yake
kuchukuliwa na Jose Mourinho ameonekana akiwasli katika uwanja wa
mazoezi wa Manchester United, Carrington.
Van
Gaal ambaye wikiendi iliyopita ameiaidia Man United kushinda Kombe la
FA hakujaweza kusaidia kusalia kwa kocha huyo kwa kile kinachosemwa kuwa
ni kushindwa kuuridhisha uongozi na mashabiki wa Man United.
Mwandishi
wa habari za michezo wa BBC, David Ornstein amepost video katika
ukurasa wake wa Twitter ambao unamwnyesha Van Gaal akiwasili Carrington.
Aidha wakati Van Gaal akiwasili
katika uwanja huo wa mazoezi, Kocha msaidizi wa ManchesterUnited, yan
Giggs ameonekana akiondoka katika uwanja huo.
Blogger Comment
Facebook Comment