DKT SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA DIASPORA ZANZIBAR

dia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la 3 la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi “Diaspora”leo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, [Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe,Dkt.Augustine Mahiga (kulia) mara alipowasili viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo la  3 la Watanzania  wanaoishi Nje ya Nchi “Diaspora”,[Picha na Ikulu.] 24/08/2016.
kon2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Balozi Charles Sanga mara alipowasili viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo la  3 la Watanzania  wanaoishi Nje ya Nchi “Diaspora”,[Picha na Ikulu.]
24/08/2016.
kon3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Adila  Vuai mara alipowasili viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo la  3 la Watanzania  wanaoishi Nje ya Nchi “Diaspora”,[Picha na Ikulu.]
24/08/2016.
kon4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mhe,waziri Mkuu Mstaafu na Balozi Salim Ahmed Salim,mara alipoingia katika ukumbi wa   Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo la  3 la Watanzania  wanaoishi Nje ya Nchi “Diaspora”,[Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Viongozi mbali mbali akiwepo Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa kabla ya kufungua Kongamamo la  3 la Watanzania  wanaoishi Nje ya Nchi “Diaspora”,katika ukumbi wa  Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo, [Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon6
Baadhi ya Viongozi walioalikwa na wajumbe  katika Kongamano la 3 la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi “Diaspora” wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taratibu za ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika leo katika katika ukumbi wa  Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,[Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon7
Wajumbe wa Kongamano la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi “Diaspora”katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililofunguliwa leo,[Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon8
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akitoa maelezo na madhumuni ya Kongamano la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi “Diaspora”katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,ambalo limefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon9
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Waalikwa mbali mbali katika ufunguzi wa  Kongamano la 3 la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi “Diaspora”wakisikiliza Hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, [Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la 3 la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi “Diaspora”leo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, [Picha na Ikulu.]24/08/2016.
kon11
Wajumbe wa Kongamano la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi “Diaspora”katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililofunguliwa leo,[Picha na Ikulu.]24/08/2016.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment