ORIJINO COMEDY YAFUNGUKA KUHUSU YALIOTOKEA BAINA YAO NA POLISI(SOMA HAPA)

Hivi  karibuni kundi la sanaa ya uigizaji la Orijino komedi liliingia matatani baada ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaamkuwahoji wasanii wanne wa kundi hilo kwa tuhuma za kuvaa sare za polisi kwenye harusi ya msanii Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja ambapo waliachiwa kwa dhamana.

August 22 2016 kupitia taarifa ya habari ya Azam, mmoja ya wachekeshaji hao Isaya Gidion ‘Wakuvanga’ amehojiwa na kusema…
 ‘mara zote huwa tunawasiliana nao kabla ya kufanya lakini kwa kipindi hiki tulisahau, na kwa kusahau kwetu ndio yakatoa yale lakini hatukuwa na maana mbaya kwamba tunadharau jeshi la polisi’
Video: 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment