Mshindi wa Taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Laura Kwai akipunga mkono kwa mashabiki wa ulimbwende mara baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa pili wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Evelyn Andrew pamoja na mshindi wa tatu wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Clara Nyaki (kulia). Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL).

 Mshindi wa taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2015 (kushoto) akimvisha Mshindi mpya wa Taji la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016, Laura Kwai (aliyeketi) mara baada ya kutangazwa kutwaa taji hilo.
 Hellen George a.k.a 'Ruby' akitumbuiza kwenye shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 jana katika Ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam. Shindano hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL).
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimtangaza mshiriki Glory Gidion kuwa balozi wa TTCL kutoka katika shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016. Mshiriki huyo atasaini mkataba wa kufanya kazi na TTCL kutangaza huduma na bidhaa za kampuni hiyo.
 Baadhi ya maofisa wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) na wadhamini wakuu wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakifuatilia matukio anuai katika mchuano huo wa walimbwende wasomi kutoka vyuo mbalimbali nchini jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa na wafanyakazi wa TTCL ambao ni wadhamini wakuu wa Shindano la TTCL Miss Higher Learning Institutions 2016 wakipiga picha na Balozi wa TTCL, Glory Gidion mara baada ya kumaliziki kwa shindano hilo.

0 comments :
Post a Comment