Habari nilizopata kutoka Arusha ni kwamba, Jeshi la Polisi mkoani humo limemkamata Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani humo Ndg.Lengai Ole Sabaya kwa tuhuma za kughushi nyaraka
mbalimbali za serikali (vikiwemo vitambulisho vya idara ya usalama wa taifa) ambapo amekua akitumia nyaraka hizo kufanya utapeli. Lengai alikamatwa jana majira ya saa 6 usiku (kuamkia leo) katika eneo la Milistone Lounge. Kwa sasa anashikiliwa katika kituo cha Polisi kati na anatarajiwa kupandishwa mahakamani jumatatu kujibu tuhuma zinazomkabili.
#MyTake:
Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kuchukua hatua, pia navipongeza vyombo mbalimbali vya habari kwa kupaza sauti kulaani kitendo cha Lengai kughushi nyaraka nyeti za serikali.!

Chanzo:Blogu ya Wananchi

0 comments :
Post a Comment