Jumamosi ya Septemba, 11 imeingia katika historia ya soka nchini baada ya ya Waziri wa Michezo, Nape Nnauye kufanya uzinduzi wa mageti ambayo yanatumia mfumo wa tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa.
MO Blog imekuandalia picha 11 za tukio la uzinduzi wa mageti hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumzia mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
0 comments :
Post a Comment