Baadhi
ya Washiriki watakaowania Taji la Miss Tanzania 2016 pichani chini
wakiwa katika picha pamoja muda mfupi baada ya kuwasili kambini. Jumla
ya Washiriki 30 kutoka kanda mbalimbali nchini wameingia Kambini
janaSeptemba 30, 2016 tayari kwa maandalizi ya Shindano hilo
linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa Mwezi ujao.


Mrembo anaeshikilia Taji la
Miss Tanzania kwa sasa, Lilian Kamazima akizungumza na Warembo
alipokutana nao jana Septemba 30, 2016 kwenye Hoteli ya Regency, Jijini
Dar es salaam. ambapo jumla ya Washiriki 30 wameingia kambini leo tayari
kwa maandalizi ya Shindano hilo linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa
Mwezi ujao.





Warembo wakifanyiwa Usaili na viongozi wa Miss Tanzania.
0 comments :
Post a Comment