MANENO ya Mourinho Kuhusu Kubakia Man United Kama Atapewa Mkataba Mpya


Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amefunguka kuwa anataka kubakia katika klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi kwa kuwa anapenda maisha yake na timu hioyo.

Mourinho ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 53, alijiunga na klabu hiyo mwezi Julai, na sasa wako katika nafasi ya sita katika jedwali la ligi baada ya mechi 17.

Najua kwamba ipo siku moja wataleta mkataba mpya, nitatia saini. alisema Mourinho wakati akingea na waandishi.

Mourinho pia amesema kwamba hatoelekea kufanya kazi nchini China , japokuwa amekiri kwamba fedha za China zinavutia kila mtu.

Nataka kusalia katika timu yenye changamoto kubwa ya kujipatia ushindi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment