Picha 14:Tetemeko La Ardhi Lililotokea Indonesia Na Kusababisha Vifo



Tetemeko kubwa la ardhi limetokea katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia na imeripotiwa kusababisha vifo vya watu 92 na mamia ya watu wamebaki majeruhi na kusababisha uharibifu mkubwa.  Tetemeko hilo la nguvu ya 6.4 kwenye vipimo vya Richter lilitokea karibu na mji wa Sigli katika kisiwa cha Sumatra. 
Maafisa wanasema watu wengi wamefukiwa kwenye vifusi vya majumba yaliyoporomoka na mpaka sasa shughuli ya uokozi  inaendelea
161207090747-01-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207090910-02-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091004-03-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091125-04-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091217-05-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091305-06-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091404-07-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091458-08-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207091612-09-indonesia-earthquake-1207-exlarge-169 161207113537-01-indonesia-aceh-earthquake-exlarge-169 161207153132-03-indonesia-aceh-earthquake-exlarge-169 161207172127-04-indonesia-aceh-earthquake-exlarge-169
twi twit4
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment