Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa katika Gari Maalum huku akiongozwa na Pikipiki za Polisi,
akiwangia mkono wananchi waliohudhuria katika Kilele cha Sherehe za
Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Sherehe
zilizofanyika leo huko Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Gwaride la
Farasi likimsindikiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein alipoingia katika akiwa Uwanja wa
Amaan Mjini Unguja leo katika Kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya miaka
53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Sherehe hizo zilihudhuriwa na
Viongozi mbali mbali pamoja na Vyama vya Siasa.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa katika Gari Maalum huku akiwangia mkono wananchi waliohudhuria
katika Kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,Sherehe zilizofanyika leo huko Uwanja wa Amaan
Mjini Unguja.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Lt.Co.Khamis Mohamed Adam wakati akikagua
Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja leo katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanziba.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Lt.Co.Khamis Mohamed Adam wakati akikagua
Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja leo katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanziba.
Baadhi ya
Watendaji kutoka Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakiwa
katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanziba,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja.
Baadhi ya
Wanachama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha
Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,zilizofanyika
leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,wakifuatilia kwa makini taratibu
za Sherehe hizo ambazo zilihudhuriwa pia na wanachama wa Vyama vyengine
vya Siasa.
Rais
Mstaafu wa Zanzibar Mhe,Dkt.Amani Abeid Karume akisalimiana na Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (katikati) alipowasili
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo wakati wa Sherehe za
Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar(kulia)
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mji wa Unguja,Abrahman Khatib.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Willium Mkapa na
Mkewe Mama Anna Mkapa (katikati) walipowasili katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja leo wakati wa Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya
Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud.


0 comments :
Post a Comment