Oman kama China wanamwaga pesa kama jungu
na inaendelea kuwachukua wachezaji waliokuwa wanang’ara Ligi kuu ya
Vodacom Tanzania bara Habari inliyopo kwenye mitandao ya kijamii ni
kuhusu kuondoka kwa mshambuliaji wa Simba Frederick Blagnon ambaye
anaelekea kwenye klabu ya Oman Club ya nchini Muscut.
Mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast hajaonekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeruha ya muda mrefu.
Story ya kuondoka kwa Blagnon imeanzia
Instagram ambapo Haji Manara amepost picha ya Blagnon inayoambatana na
maelezo kwamba nyota huyo anaondoka Simba kwenda Oman Club kwa mkopo wa
miezi sita.
“Frederick Blagnon aenda kwa mkopo Oman
Club ya Muscut kwa majariio ni mkopo wa miezi sita,” ni ujumbe
aliouandika Haji Manara afisa habari wa Simba kupitia ukurasa wake wa
Instagram.


0 comments :
Post a Comment