Meli
mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa
kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari
150 imetia nanga
Bandari ya Tanga leo.
Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
0 comments :
Post a Comment