
Kikosi cha Azam FC January 2 2017 licha ya kutawaliwa na sura mpya katika kikosi cha kwanza wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na mchezaji wao chipukizi Shabaan Iddi dakika ya 79 ya mchezo muda mchache baada ya kuingia akitokea benchi.
0 comments :
Post a Comment