WAJUMBE WA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) WAPIGWA MSASA KUHUSU MAJUKUMU YA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)



asu
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kamati yake kuhusu mada zinazojadiliwa katika Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa wajumbe hao kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyowakutanisha wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.
kile
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Natu Mwamba (mwenye kilemba) akiwafafanulia Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kabla ya kuanza uwasilishwaji mada wakati wa mafunzo yaliyowakutanisha Wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.
PICHA 6
Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia mada kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki ya Tanzania (BOT) zikizowasilishwa na baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo wakati walipohudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo toka BOT yaliyofanyika leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.
PICHA 10
Baadhi ya Wajumbe Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwasilisha mada kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki ya Tanzania (BOT) mbele ya Mwenyekiti na naibu Gavana wa BOT leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA BUNGE-DAR ES SALAAM)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment