BREAKING: Video ikimuonyesha Askofu Gwajima akitoka Polisi baada ya kuachiwa


Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima jioni ya leo February 11 2017 ameachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa Mahabusu toka Alhamisi baada ya kwenda kituoni hapo kufuatia kutajwa kwenye orodha ya Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda na sakata la dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini kujionea ilivyokua leo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment