Bungeni Leo :Spika Ngugai Atoa Ya Moyoni Kwa Serikali Asema Ubabe Ubabe Utaharibu Nchi..

February 10 2017 mkutano wa sita wa bunge umeahirishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo baada ya kutoa hoja hiyo Spika wa Bunge Job Ndugai alisimama kwa dakika kadhaa.
Katika kusimama kwake Spika Job Ndugai aliwataka Wabunge kusamehe makosa yote yaliyojitokeza katika kipindi chote cha Bunge kwenye ishu ya Wabunge kukamatwa na Polisi, tazama hii video kujua zaidi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment