Askofu
Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo
jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo
cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.
Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii “FREE
AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho
nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar
es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba
kwaajili ya hili”
0 comments :
Post a Comment