Kikosi cha Yanga SC
kinatarajiwa kuondoka Alfajiri ya kesho asubui kuelekea nchini Comoro
kwenye mji wa Moroni tayari kwa mchezo wake wa kwanza ya Ligi ya
mabingwa dhidi ya Ngaya.
Msafara utakuwa na wachezaji ishirini(20) benchi la ufundi nane( 8 )pamoja na viongozi wawili(2).
Wachezaji wanaoondoka kesho ni.
Deogratius Munish,
Ally Mustafa,Deud Kaseke,Haruna Niyonzima,Thaban Kamusoko, Amissi
Tambwe, Mwinyi Haji, Saimon Msuva, Geoffrey Mwashuiya,Saidi Makapu,
Hassan Ramadhani, Juma Mahadhi, Yusuph Mhilu, Obrey Chirwa, Nadir
Haroub, Justine Zulu, Kelvin Yondani, Juma Abdul, Oscar Joshua na
Emmanuel Martin.
Benchi la ufundi wanaoondoka ni:
George
Lwandamina,Noel Mwandila,Edward Samwel Bavu,Juma Pondamali,Juma Zakaria
Omary,Hafidhi Saleh Suleiman,Mohamed Omary Mwaliga na Jacob Sospeter
Onyango.
Viongozi wanaosafiri.
Mussa Mohamed Kisoki (TFF) na Paul Malume (Yanga Sc)
Baada ya kikosi kuwasili kinatarajiwa kufanya mazoezi yake kesho jioni kwenye uwanja utakaochezewa mchezo siku ya jumapili.
Imetolewa na Idara ya Habari na mawasiliano.
Young Africans Sports Club
10.02.2017
0 comments :
Post a Comment