Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema katika vita ya watu
wanaojihusisha na dawa za kulevya, kuna waumini 12 walikuwa wamepanga
njama za kutaka kumtupia majini lakini hawajafanikiwa kutokana na maombi
ya viongozi wa dini.
Amedai waumini hao waliandaa mbuzi mweupe ili kumtoa kafara na aliwatambua kupitia mtandao wake.
Makonda amesema haamini kama waliofanya hivyo walikuwa ni Waislamu, bali kundi la watu waliokuwa wamevaa kanzu kwa utambulisho huo na kwamba huenda walitumika kuwalia watu fedha zao.

0 comments :
Post a Comment