PICHA Na MATUKIO: Wema Sepetu na Tundu Lissu Walivyofikishwa Mahakamani Mchana Huu


Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu mchana huu  kujibu tuhuma zinazowakabili.

Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uchochezi .Kesi inayomkabili Wema Sepetu ni kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment